Saturday, December 28, 2013

Bongo movie waanza kumuogopa Yuster

Mwanadada Yuster anaemiliki kampuni ya EAGLE INTERTIMENT inayotengeneza filamu za kitanzania ameanza kuogopwa na baadhi ya wasanii wa bongo movie baada ya kutoa filamu yake ya Majuto si Hasara

Wakiongea na blog hii waingizaji mbali mbali wamesema Yuster amekuja vizuri sana na amewapa changamoto kubwa na kuwafanya waongeze bidii

Yuster ameingia kwenye filamu hivi karibuni lakini ameonesha kushtua soko la filamu kutokana na ubora wa kazi zake

No comments:

Post a Comment