Tuesday, December 31, 2013

Wastara ameanza safari ya Songea leo asubui kwa ajili ya kisomo cha marehemu mume wake cheki picha chini

Mcheza filamu za kitanzania Wastara Sajuki ameondoka leo mkoani Dar es salaam kuelekea Songea kwenye kisomo cha marehemu mume wake Juma kilowoko(sajuki)

No comments:

Post a Comment