Tuesday, December 17, 2013

Team Wastara ndio faraja yangu:Wastara

Mcheza filamu za kitanzania Wastara Juma amesema “team wastara“ndio faraja yake kwa sasa kwani wamekua karibu nae sana nakufanya upweke wakuondokewa na mume wake upungue kwa kiasi kikubwa

Akiongea na blog hii amesema “team“ hiyo ambayo yeye ndio kiongozi imeanzishwa kwa lengo la kumshauri na kua nae bega kwa bega kumsapoti kitu unachokifanya.

“Team wastara nimeanzisha ili kupata faraja na kushauriwa pia ni kama ndugu zangu nawapenda sana maana wako pamoja na mimi kunishauri kwa kila jambo“

No comments:

Post a Comment