Saturday, December 28, 2013

Soma alichoandika muigizaji Batuli kwenye facebook kuhusiana na Wastara

Batuli Actress
Maisha ni safari ndefu, Safari yenye Vicheko na Vilio. Mwenyezi Mungu hakosei hivyo yatupasa kushukuru kwa kila jambo. Leo ni kumbukumbu ya Kaka yetu, Kipenzi chetu Juma Kilowoko au SAJUKI. Mwenyezi Mungu akuweke kwenye Pepo ya Firdaus. Wastara ww ni mke mwema, Usilie ukakufuru muombe shujaa wako nasi tupo nyuma yako kwa maombi. Innalilahi Wainnailah Rajuun

No comments:

Post a Comment