Sunday, December 29, 2013

Martin Kadinda ana wosia wangu na maagizo yote ya nini cha kufanya:Jack Cliff


"Kama ntanyongwa, Martin Kadinda ana wosia wangu na maagizo yote ya nini cha kufanya "...Jack Cliff

Yaelekea mwanadada Jackie Cliff alikuwa amejipanga kisawa sawa na alijitoa muhanga na kujua lolote lingeweza kumpata kutokana na kazi aliyo kuwa akifanya ya kubeba sembe.

Jackie alijipanga na  kuamua kumuachia rafiki yake kipenzi Martin Kadinda maagizo na wosia wake just incase ikatokea akafariki. Jackie aliweza kuandika ujumbe huo kwenye status yake ya BBM kama inavyo onekana hapa chini.

Jackie alikamtwa mapema mwezi huu Macau, China na kilo 1.1 za heroin  na sasa anasubiria hatma yake kutokana na kosa hilo la kusafirisha madawa ya kulevya

No comments:

Post a Comment