Tuesday, December 10, 2013

“Sivuti sigara nje ya filamu“Salma Jabu

Mcheza filamu za kibongo Salma Jabu Nisha amesema havuti sigara nje ya filamu hivyo mashabiki wasimtafasiri tofauti wakiona anaigiza kuvuta sigara kwani yeye anafanya jinsi “scene“inavyotaka

Akitolea mfano kwenye filamu ya shaymaa anasema “story“ilitaka avute sigara ndio maana amevuta lakini sio mvutaji kabisa wa sigara kwenye maisha ya kawaida

“mimi sivuti kabisa sigara njee ya filamu hivyo msinitafasiri tofauti jamani navuta sigara kulingana na story inavyotaka“

1 comment:

  1. Kwahiyo story ikikuambia tembea uchi na uanike viungo vyako wazi utafanya hivyo kama unavyosema. Acha hizo madam unapotea bilakujijua unabidi huwe na msimamo wako kwanini usiwambie kipande hicho wasikupe wampe wengine.

    ReplyDelete