Monday, December 16, 2013

Sitembei na staa:Deogratius Shija

STAA wa filamu Bongo, Deogratius Shija amesema katika maisha yake hafikirii kutoka kimapenzi na mwanamke yoyote ambaye ni msanii hususani kuingia naye katika maisha ya ndoa

Akizungumza na paparazi wetu alisema, kamwe hawezi kukurupuka akajiingiza mkenge kumuoa msanii kwa kuwa hana imani na wasanii wa kike na hajawahi kujihusisha nao kimapenzi, kwani  mastaa wengi ni walaghai wanaumiza vichwa.

“Nawaza sana mwanamke wa kumuoa kwa sasa lakini suala la kuoa msanii halipo kabisa

No comments:

Post a Comment