Monday, December 16, 2013

Kigogo CCM auawa jijini Mwanza

Mwenyekiti wa zamani wa CCM mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, ameuawa mchana huu Kisesa, Mwanza baada ya kumpiga risasi raia mmoja na yeye kuuawa katika ugomvi wa mashamba!

No comments:

Post a Comment