Mcheza filamu za kitanzania Salma Jabu Nisha amesema yeye sio “freemasoon“na kwamba kinachoonekana mkononi mwake ni mchoro wa nyota na herufi S yenye maana ya Salma.
Salna amesema hayo baada ya shabiki mmoja kumuuliza swali ilo baada ya kuweka picha kwenye mtandao wa “facebook“.
“mimi sio freemasoon huu mchoro ni wa nyota na hii herufi ya S maana yake ni Salma hakuna zaid ya hapo“
No comments:
Post a Comment