“kila siku napokea picha kwenye akaunti yangu ya “facebook“wapenzi wa kazi zangu wananitumia wakiwa wa na kava la filamu yangu mpya inanipa faraja sana kwani muitikio wao ni mkubwa mm nawashukuru sana watanzania na watu wapenzi wote wa filamu zangu popote dunia,asante mungu“wastara juma
No comments:
Post a Comment