Namshukuru sana Mungu kwa kunilinda mpk kufika siku ya leo. Kwa akili na uwezo wangu nisongeweza ila kwa uwezo wake Mungu hata leo hii nipo salama.Ni mengi nimepitia lakn mkono wa Mungu u juu yangu ndio maana leo nipo kaama nilivyo.Nawashukuru sana wazazi wangu kwa kunizaa,mke wangu kipenzi Irene Makeula kwa kunilea kwa kila hali asante sana moyo wangu queen irene nakupenda sana.Pia kwa nafasi ya kipekee sana nawashukuru sana mashabiki wangu wote kwa kufatilia kazi zangu na kuwa pampja nami begakwabega ktk shughuli zote zinazofanya nathamini sana mchango wenu Mungu wangu awabariki sana.Asanteni wote ambao kwa namna moja au nyingine mmechukua nafasi yenu kunitakia kheri kwa siku yangu hii ya kuzaliwa Mkono wa bwana usiwapungukie..."
Bongo movie
No comments:
Post a Comment