Thursday, December 05, 2013

Soma alichoandika Wastara Sajuki kwenye ukurasa wake wa facebook kuhusiana na filamu nchini

Wale waliosubiri SHAYMAA kwa hamu kubwa atimae kesho inaingia mitaani, kikubwa ninachowaomba washabiki wangu ni kununua cd original ili yenye nembo ya steps na stika ya tra ili tusaidia wasanii wenu tusonge mbele, kilasiku tunaludi nyuma na kuwa maskini na tusio na hadhi inayotustahili sababu ya pairacy,  imekuwa ni kitu cha kawaida kwasasa wasanii kuibiwa kazi zetu tunalia peke yetu na familly zetu sababu tumelia hadharani lakini sheria imeshindwa kuchukua mkondo wake imeshindwa kufuta machozi yetu matokeo yake tunalipa kodi nyingi za halali na zisizo halali bila kujua kipato tunachoingiza na hasara tunazopata, vip leo wasambazaji wote wakiamua kugoma kununua kazi zetu sababu ya pairacy?? Hta serkal itakosa pesa nyingi sio peke yetu hivyo tujue kazi ya filam ina faida kwetu sote tusiumie peke yetu wakati faida tunagawana, soon htua itachukulia kuonyesha tulivyochoshwa, nunua copy original ya SHAYMAA SHAYMAA  kesho kitaani

No comments:

Post a Comment