Thursday, December 12, 2013

Baada ya Bondi kumsamehe Kingwendu hiki ndio ameandika “facebook“

Ile kesi yangu na Kingwendu imekwisha na nime msamehe, kuteleza kwa binaadamu no jambo la kawaida na kizuri mtu akitambua kosa na kukiri kosa kisha kuomba msamaha basi anastahili kusamehewa bure na bila kinyongo... mtani wangu huyu Wazaramo na Wasukuma ni watani...NIMEMSAMEHE alhamdulillah

Kingwendu aliondoka kuelekea nchini Msumbiji na pesa ya awali aliyopewa na bondi kwa ajili ya kucheza filamu ya uaminifu dhaifu

No comments:

Post a Comment