Baada ya juzi mrembo super woman wastara kutupia picha kwenye mitandao ya kijamii akiwa na vazi la shera na kuandika neno “atimae“mashabiki walianza kuoji uenda kaolewa na amepigiwa simu nyingi kuulizwa swala ilo
Sasa hii ndio kauli yake
“Sijaolewa jamani nipo manake jana nimepigiwa simu nyingi za kuwa nimeolewa nko shooting jamani hilo ni vazi tu lov u all“
mwishoni mwa mwezi huu Wastara anatarajia kuachia filamu yake mpya inayoitwa Shaymaa aliowashirikisha wasanii Salma Nisha,Yusuph Mlela na wengine wengi
No comments:
Post a Comment