Kupitia ukurasa wake wa facebook asubuhi ya leo staa wa filamu za kibongo Wastara Sajuki ameandki hivi
“Hivi karibuni Nitaacha kuiguza na sababu za msingi nitazitoa lakini.kabla ya kuacha msubili bonge la suprise ambalo mtanikumbuka ata nikifa“
toa maoni yako kuhusu maamuzi haya ya Wastara
No comments:
Post a Comment