Huu ni muonekano mpya wa Vicent Kigosi ambao ni moja ya maandalizi ya movie yake mpya
Kupitia akaunti yake kwenye mtandao wa kijamii Ray ameweka picha hizo na kuandika hivi
“Je nageukia bongoflava au kuna nini kinakuja?”. Aliadika Ray kwenye moja ya picha zake.
No comments:
Post a Comment