Saturday, November 16, 2013

Linex kuonesha uwezo kwenye mwajuma ya Aunt Ezekiel

Mwanamuziki wa bongo fleva Linex Sunday ameingia kwenye tasnia ya filamu na filamu yake ya kwanza atacheza na Aunt Ezekiel

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa kijamii wa facebook ameka picha akiwa na mdada huyo nyota wa filam na kuandika hivi

Last nyt wit Aunt Ezekiel Location doin thing kwa mala ya kwanza ntaonekana kwenye movie ya Aunt inaitwa MWAJUMA#huslte hard#wetheVoa

No comments:

Post a Comment