Msanii wa filamu nchini Soud Ally ameweka picha yake kwenye ukurasa wa facebook na kuandika R.l.P Babu Sea
Soma baadhi ya komenti akijibishana na wadau kuhusu taarifa hiyo
Ata hivyo badae amekanusha na kusema amedangaywa
Habari za kuaminika Babu Sea amefariki
Like · 1 hour ago
Peter Chagula
kwani mzee nguza kafa ? mbna usomeki
Like · 1 hour ago
Soud Ally
amefariki kweli bana
Like · 59 minutes ago
Peter Chagula
dar inauma sana jamani babu seya kafa inauma sana yahani we acha tu
Like · 58 minutes ago
Judith Robert
Mmh ar u serious?lin jaman
Like · 57 minutes ago
Nucresh Nicostrates
Mh! mungu wang kweli jaman au ndo uzush?!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Like · 55 minutes ago
Mary Lynn Edward
We soud punguza looh
Like · 54 minutes ago
Soud Ally
Daaaaaah nakanusha jamani nimedanganywa, hajafa
No comments:
Post a Comment