Mcheza filamu za kitanzania Salma Nisha amesema yeye anamtegemea mungu kwa kila jambo na ahamini uchawi wa kuloga au kulogwa
Nisha amesema watu wengi wanaamini mtu akiwa na mafaniko basi ameroga jambo ambalo sio kweli
“mafanikio yangu ni juhudi zangu katika kazi siamini uchawi.. kwa kurogwa au kwenda kwa waganga.. namuamini Mungu yeye ndiye daktari wangu wa ukweli na hana mpinzani“
No comments:
Post a Comment