Msanii wa bongo fleva Linex Sundy ameingia team wastara ya mcheza filamu za kibongo iliyopo WhatsApp na kutambulisha video ya wimbo wake mpya wa kimugina.
Mbali na kutambulisha video yake amewataka wana team kumsapoti na kumfariji Wastara ili aweze kusahau magumu aliyopitia ya kuondokewa na mume wake marehemu Juma Kilowoko(sajuki)
“Apart from issue za my new video Shout out kwenu kwa kumsupport sister wangu wastara naomba mu mfariji na asahau wat happn yesterday so Mungu awe nanyi let do it for love“
Unaweza kuiona kimugina video you tube kwa kuandika Linex-kimugina
No comments:
Post a Comment