Monday, November 25, 2013

Gazeti jipya la Maskani Bongo la muanika Manaiki Sanga

Gazeti jipya kabisa la Maskani limeanza kwa kumuanika muigizaji wa filam Manaiki Sanga anaejizolea umaharufu kwa kupiga picha za uchi na warembo wenye mvuto wa juu bongo na badae kumgeuka na kuzisambaza mitandaoni

Inaaminika mpaka sasa amepiga picha zaidi ya 500 na warembo mbali mbali na wamezivujisha kwa lengo la kumchafua

No comments:

Post a Comment