Baada ya wapenzi wa kazi za muigizaji Amanda Poshy kuhoji ukimya wake atimae mrembo huyo ameiambia blog hii kua yupo chimbo kuna filam anaanda lakini hivi karibuni ataonekana kwenye filamu mpya ya Lost future
Amesema filam hiyo inahusu mapenzi na yeye ndio muhusika mkuu akiwaa na mastar wengi kama vile baba Haji,Aunt Ezekiel Hashimu kambi MR. Mlawa na Dotnata
No comments:
Post a Comment