Kumalizika kwa penzi ni mwanzo wa penzi jipya, na mwazo wa penzi ni mwanzo wa matatizo, hakuna aliyewahi kuingia kwenye mahusiano bila kuumizwa, kuumizwa kuko aina nyingi sana, wazazi awampendi uliyenae au upendwi ukweni bila sababu ya msingi, marafiki wa ulienae ni wachafu wa tabia ni kikwazo kwako, uliyenae si muaminifu na hajali unakosa raha na uwezi kumwacha, ni mwanzo wa kukubesha kichwa chako mzigo wa mawazo, matatizo yapo mengi kwenye mahusiano, kauli mbiu yangu ni ya kufungia mwaka MWANZO WA NI MWANZO WA MATATIZO, ukitaka kujua matatizo ni yapi nitafute nikwambie,
No comments:
Post a Comment