wastara sajuki
WASTARA SAJUKI
Pages
Home
PICTURES
TOP STORY
MOVIES
Wednesday, August 13, 2014
UNAAMBIWA WEMA SEPETU AMDHALILISHA DIAMOND PLATNUMZ KWA KUFANYA HIVI HUKO MWANZA KWENYE FIEST
ushabiki wa Wema kwa Diamond kidogo umepitiliza na hata kama umekuwa ukishangiliwa, tunahisi anajishusha kiaina.
Kuna ile hadhi ya mke lazima ilindwe hasa kama mke ama mpenzi wako si msanii kama wewe. Wema ni muigizaji si dancer ama mwanamuziki na kwa muigizaji wa filamu mwenye mashabiki wengi, kupanda jukwaani na kukata viuno design kama ni kushusha brand ama nini? Si mbaya kama angekuwa akipanda na kutoa salamu fupi kisha kushuka na kuwa mtazamaji kama watu wengine.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment