Wednesday, August 13, 2014

WASTARA KUIZINDUA FILAMU YAKE YA LAST DECISION MITAANI KESHO


Mcheza filamu mwenye jina kubwa bongo Wastara Juma kesho anatarajia kuizindua filamu ya Last Decision kwenye mitaa mbali mbali jijini Dar es salaam

Wastara amesema ataanzia wilaya ya Temeke eneo la Mbagala na badae kwenda Tandika sokoni na kisha anatafata wilaya ya Ilala na kinondoni

kwenye uzinduzi huo atakuwa na team wastara wamabo ni team yake inayompa sapoti kwenye kila jambo ambalo anarifanya

Mashabiki mnaombwa kujitokeza kwa wingi kumsapoti ambapo pia mtapata nafasi ya kupiga nae picha na pia zawadi kibao zitatolewa

No comments:

Post a Comment