Wednesday, August 13, 2014
HUU NDIO MUONEKANO WA TUZO YA ZA ACTION&CUT VIEWS CHOICE AWARDS
Muongozaji wa filamu na mtangazaji wa kipindi cha runinga action ana cut Bond Bin Sinnan ameonesha muonekano wa tuzo za"action and cut views choice awards"kupitia ukurasa wake wa facebook amabazo ameanda kutoka kwenye kipindi chake na kuambatanisha maneno haya
Tanzania Lets make it happen
Ni yetu kwaajili yetu kikwetu Kwetu
nyumbani kwanza kwingine baadae
Watazama filamu kuwatuza wanafilamu.... inapendeza
Tuzo hizo ambazo zinajumuisha wasanii maarufu waliopendekezwa na watazamaji wa kipindi hicho zinatarajia kufanyika hivi karibuni jijini Dar es salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment