SHILOLE, NUH MZIWANDA WAONYESHANA MAPENZI UPYA
Mapenzi
ya Nuh Mziwanda na Shilole yaliripotiwa kuvunjika hivi karibu yamerudi
kwa nguvu zaidi siku ya jana wamesambaza picha kupitia account zao
Instagram wakiwa pamoja kama ishara ya mapenzi yao kuongezeka zaidi.
Nuh na Shilole wote waliweka picha instagram kuonyesha wamepatana na mapenzi yatadumu zaidi ya miezi kadha iliyotabiriwa.
No comments:
Post a Comment