Friday, August 08, 2014

TATTOO MPYA YA WEMA SEPETU HII HAPA

Wema Sepetu jana ametambulisha tattoo yake mpya aliyojichora mkononi iliyoandikwa 'Daddy Sepetu' kupitia akaunti yake ya Instagram ikiwa ni kumbukumbu ya marehemu ya baba yake mzazi Isaac Sepetu aliyefariki dunia mwaka jana.

No comments:

Post a Comment