Mcheza filamu za kitanzania Wastara Juma amewaacha midomo wazi wafanya biashara wa soko la Tandika na madereva wa mabasi baada ya kuvamia eneo hilo akiwa na team yake nakuanza kubandika makava ya filamu yake mpya inayotoka mwishoni mwa wiki hii
Swala alilofanya ni historia kubwa na ni mara ya kwanza kwa msanii wa filamu mkubwa kama yeye kubandika makava mtaani
No comments:
Post a Comment