Mcheza filamu za kitanzania mwenye jina kubwaWastara Juma amesema filamu yake mpya aliyofanya na Hemedy anatarajia kuitoa siku ya alhamisi ya tarehe 14 mwezi huu kwakua ni mwisho wa wiki mashabiki wake wapate nafasi ya kuitafuta kwani wameisubili kwa muda mrefu sana
No comments:
Post a Comment