Mcheza filamu za kibongo Aisha Bui ambae anasubiliwa sokoni na filamu yake ya Mshale wa kifo akiwa na Gabo amesema ameshangaa kuona habari kuwa alikua nchini Brazil akitumikia kifungo jambo ambalo halina ukweli wowote
AISHA amesema alikua Brazil kwa mambo yake mengine ila alishangaa taarifa zilizoenea nchini kuwa yupo nyuma ya nondo kwa ishu ya madawa
"mimi nilikua Brazil kwa mambo yangu mengine sikua gerezani kama ilivyolipotiwa na sijui ilikuaje nikaandikwa vile"
Aisha Bui anatarajia kuachia filamu yake ya Mshale wa kifo hivi karibuni
No comments:
Post a Comment