Mcheza filamu mwenye umbo amabalo linawachanganya wanaume wengi wa kwale Amanda Poshy ameshindwa kujizui hisia zake na kujikuta akitupia ujumbe wenye maneno ya wimbo wa Ali kiba kwenye akaunti yake ya facebook ameandika
"Amesema sana mama,dunia
tambara bovu...kuna asali na shubiri..ujana ,giza na nuru...(Maneno ya
kiba hayo)yana maana kubwa sana ukiisikiliza nyimbo nzima ila me
pamenivutia hapo tu"
No comments:
Post a Comment