kwa upande wake Wastara amesema ni kweli tukio hilo lilitokea ata watoto wadogo walimzingira gafla lakini yeye aliishia kucheka tu,amesema hiyo ilitokana na watu kutoona kamera pale lakini badae waliondoa hofu walipoona kamera
"yani mimi nilitangulia location na nilitakiwa kucheza kama chizi sasa watu wakajua kweli lakini badae walielewa"
Wastara anatarajia kutoa filamu hiyoo mapema mwezi ujao uku akiwa na mastaa na chipukizi wengi walioonesha uwezo wa juu na amesema filamu hiyo inaitwa Last Decision
No comments:
Post a Comment