Wednesday, July 16, 2014
WASTARA:NATAMANI MWEZI MTUKUFU USIMALIZIKE MAANA UNANIFANYA NIWE KARIBU NA MWANANGU
Mcheza filamu mwenye jina kubwa Tanzania Wastara Juma Issa amesema anatamani mwezi mtukufu wa ramadhani usimalizike maana unamfanya anakuwa karibu na mwanae
Amesema mwezi huu shughuli za sanaa amesimama hivyo anashinda nyumbani tofauti na miezi mingine ambayo anakuwa kwenye miangaiko ya kuandaa filamu hivyo muda mwingi anashinda na kipenzi chake Frheen
'Unajua mara nyingi na kuwa bize na kazi kwenye miezi ya kawaida hivyo siwi karibu na mwanangu lakini mwezi huu sifanyi kazi za sanaa nashinda nae yani natamani mwezi usihishe"
Wastara anatarajia kuachia filamu yake mpya ya Last Decision inayotoka mwezi ujao akiwa amemshirikisha Hemedy Suleiman na wasanii wengine wengi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment