Mcheza filamu mwenye jina kubwa kwenye filamu za kitanzania Hemed Suleiman amesema anapata wakati mgumu sana akiwa anacheza filamu na msanii mwenzake Wastara Juma,nakuongeza kuwa hiyo ni kwa sababu anapocheza na msanii huyo moyo wake ujaa hofu nakuona kama anamtendea vitendo vya kweli na kuona kama ana myanyasa kumbe wako kazini
Amesema ni miaka mitano imepita tangu walipocheza filamu ya Hekima hivyo kuwataka mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani anakuja tena na Wastara kwenye filamu mpya inayokwenda kwa jina la Last Decision iliyoongozwa na Bond Bin Sinnan na kuchezewa Mwanza
No comments:
Post a Comment