Tuesday, May 20, 2014

WASTARA:BRING BACK OUR GIRLS

Baada ya boko haram kuwateka watoto wa kike nchini NIGERIA iki ndio amekisema Wastara

"Mimi kama mzazi najua uchungu wa mtoto moyo unaniuma sana hao watoto kutekwa maana sijui wapo kwenye mazingira gani uko"

No comments:

Post a Comment