Tuesday, May 20, 2014

WASTARA NA RIYAMA KUWASILI NCHINI JUMATANO JIONI

Wacheza filamu wenye majina makubwa Tanzania Riyama Ally na Wastara Juma wanatarajia kuwasili nchini jioni ya kesho jumatano wakitokea London walipokwenda kwa ajili ya kuandaa filamu mpya ya Ughaibuni inayotarajia kutoka mapema mwaka huu


No comments:

Post a Comment