Saturday, May 24, 2014

SITOSAHAU FACEBOOK YAMTESA EMMY

Muandishi wa vitabu mwenye jina kubwa bongo Emmy Person amesema yeye sio freemasoon na wala hausiki na lolote kuhusu dini hiyo inayoaminika kuwa ni ya mashetani

Emmy amekua alipata usumbufu mkubwa kutoka kwa watu akiobwa awaunganishe watu kwenye dini hiyo baada ya kitabu chake cha sitasahau facebook kuelezea jinsi freemasoon walivyotawala facebook
"mimi sio freemasoon jamani na wala sijui chochote kuhusu dini hiyo mimi niliandika tu kitabu"

No comments:

Post a Comment