Saturday, May 31, 2014

BAADA YA SITAISAHAU FACEBOOK SASA NI KUTOKA WHATSAPP"EMMY JOHN"

Emmy John Person
Muandishi wa kitabu cha sitaisahau facebook Emmy John amesema anafikilia kutoa kitabu kingine kinachoitwa kutoka whatsApp baada ya kitabu chake kuwa gumzo nchini
Emmy amesema kwenye kitabu hicho ataelezea jinsi matumizi ya whatsApp yalivyoteka watu wengi nakuwapa matatizo zaidi"niko mbioni kutoa kitabu kingine kinachohusu whatsApp najua kitawashika zaid ya sitaisahau facebook"


No comments:

Post a Comment