Friday, June 13, 2014

Mima white car wash ya kina Wastara yafunguliwa Tabata Muslim Dar es salaam cheki picha

Wastara akiosha kari kwenye ufunguzi

Mtangazaji wa kipindi cha action and cut Bond bin sinann akiosha gari na wastara

baadhi ya wana tea wastara wakiwa na kiongozi wao wastara kwenye picha ya pamoja

Esha buheti kutoka bongo movie nae alikuwepo

wastara na jerry wakiosha magari



msanii Dino wa bongo movie akiosha gari

team wastara

team wastara




No comments:

Post a Comment