Saturday, April 05, 2014

Wastara:“nipo tayari kuolewa na kuishi na yoyote ole wake anaetishia kuwa atakaenioa atakufa atambue yeye sio mungu na dunia tunapita“

Msanii mwenye jina kubwa kwenye tasnia ya filamu bongo Wastara Juma amaesema yupo tayari kuolewa na kuishi na mwanaume yoyote atakae jaliwa na mungu lakini ole wake anaetishia kuwa atakaemuoa atakufa atambue yeye sio mungu na dunia wote tunapita hivyo ahache vitisho visivyokuwa na maana

Akifunguka kiafrika bila hofu yoyote amesema anaamini kila jambo linatokea ni mipango ya mungu na kwamba hakuna wakumtisha hapa chini ya jua maana wote tumeumbwa na mungu na kwake tutalejea

“Hakuna wakunitisha mimi namuogopa mungu tu maana ndio ananipa pumzi lakini sio binadamu mwenzangu natamka rasmi nipo tayari kuolewa na yeyote titakaependana nae na hakuna aja ya kuogopa vitisho vya mtu.

No comments:

Post a Comment