Saturday, April 05, 2014

LULU : KUHOGWA NOMA SANA

ELIZABETH Michael ‘ Lulu ’ amewaasa
wasichana wenzake kujitahidi kujishugulisha
na kazi mbalimbali kuingiza ‘ chapaa ’ na
wasiendekeze kuhongwa fedha na
mapedeshee kwani ni aibu.

Akistorisha na paparazi wetu pasipo kuweka
wazi kama alishawahi kuhongwa au la, Lulu
alitiririka:
“ Jamani wasichana wote tuinuke tuachane
na mambo ya kuhongwa fedha na matajiri
kwani hizi zina mwisho wake , siku hizi
mambo yote ni kujishughulisha . ”

No comments:

Post a Comment