Saturday, February 22, 2014

SHILOLE AWASHANGAA WASIOPENDA ‘MAKUFULI‘

STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena
Mohamed ‘ Shilole’ amefunguka kuwa huwa
anawashangaa wasichana wasiopenda
kujisitiri kwa kuvaa nguo za ndani
‘makufuli’ .

Akistorisha na paparazi wetu , Shilole
alisema katika maisha yake anapenda sana
kujisitiri kwa kuvaa nguo ya ndani hivyo
anawashangaa wasanii wanaotembea bila
kuvaa nguo hiyo huku wengine wakidai
wakizivaa wanahisi kuwashwa kwa joto .
“ Napenda sana kuvaa ‘kufuli ’ na huwa
ninapata shida sana kutokana na wasichana
tena mastaa ambao hawavai eti wana aleji
nazo, unajua mwanamke lazima ujisitiri ,
siwezi kutoka nyumbani bila kuvaa nguo ya
ndani, ” alisema Shilole

No comments:

Post a Comment