Filamu mpya kwaajili yako imekujia kwa
wakati husika, jipatie nakala yako kuanzia
sasa. Mzigo unaitwa "NJIA PANDA" Humo
ndani kutana na mastaa wa kibongo akiwemo
Omary Clayton,Wastara Juma,Hemed
Suleiman nawenfine kibao, Inapatikana
madukani kote kuanzia sasa.
No comments:
Post a Comment