Saturday, February 15, 2014

Mwigizaji na shoga maarufu wa Nollywood Nigeria afariki ghafla

Mwigizaji maarufu Charles Warren ambaye ni
shoga anayeigiza sinema katika tasnia ya
sinema ya Nollywood nchini Nigeria amefariki
ghafla alhamisi iliyopita majira ya usiku katika
Hospitali moja jijini Lagos nchini Nigeria.
Charles Warren alifariki ghafla wakati akiifanya
mapenzi (akimegwa) na mwenzake aliyetajwa
kwa jina la Ajah ambapo ghafla alianza
kulalamika maumivu ya kiuno na baadaye
maumivu hayo yakahamia mgongoni ambapo
baadaye alipata haja kubwa mara nne ndani
ya muda wa dakika 30.
Baadaye maumivu hayo yalihamia kifuani
ambapo ilibidi awahishwe katika hospitali ya
Safeway kwa matibabu zaidi. Rafiki yake
aitwaye Ajah ambaye ndiye waliyekuwa
wakifanya naye mapenzi alijaribu bila
mafanikio kumfanyia masaji kifuani ili
kumpunguzia maumivu lakini haikusaidia,
Warren alifariki dunia usiku huo huo.
RIP Charles Warren.

No comments:

Post a Comment