Mcheza filamu za kitanzania Yuster Nyakachara amesema moja ya ndoto zake ni kufanya kazi na Wastara Juma kwakua ni muigizaji mwenye uwezo mkubwa na yupo makini na kazi yake
Amesema kwa uwezo wa mungu atatimiza ndoto yake hiyo
“Moja ya ndoto zangu ni kufanya kazi na wastara na najua itatimia“
hivi karibuni Yuster anatarajia kuachia filamu yake ya kwanza inayoitwa Majuto si hasira akiwa na Jackline Wolper na wasanii wengine wengi
No comments:
Post a Comment