Muigizaji wa filamu za kitanzania Yuster Nyakachara amesema Mercy Johnson ndio amemvutia mpaka akaingia kwenye tansia ya filamu
Yuster amesema Bongo kuna waingizaji wengi wazuri na anawakubali kazi zao ila yeye amevutiwa na mrembo huyo kutoka Nigeria kwa kazi zake
“aliye nivutia mimi bwana ni Mercy Johnson“
Hivi karibuni anatarajia kuingiza sokoni filam yake yakwanza Majuto si Hasira aliyocheza na Jackline Wolper na Slim
No comments:
Post a Comment