Sunday, January 05, 2014

Steven Nyerere ndio mwenyekiti mpya wa Bongo Movie

Mcheza filamu za kitanzania Steven Nyerere jana ameibuka mshindi kwenye uchaguzi wa kuteua viongozi wa Bongo Movie

Kwenye uchaguzi huo Steve ameshinda nafasi ya kuwa mwenyekiti wa bongo movie uku msaidizi wake akiwa Dokta Cheni na ukatibu kuchukuliwa na Mtitu

No comments:

Post a Comment