Monday, January 27, 2014

SNURA:2014 MAJANGA KWANGU

STAA wa majanga , Snura Mushi ameuanza
mwaka 2014 vibaya kutokana na maradhi
ya presha yanayomsumbua mara kwa mara.

Snuramesema kuwa hajui ni kitu gani
kinamsumbua lakini kila akienda kupima
anaambiwa ni presha imepanda na vidonda
vya tumbo .
“ Nimekuwa nikiumwa mara kwa mara na
nikishikwa ni lazima niwekewe drip kwani
naishiwa nguvu nakosa raha pia , sijielewi
ingawa naambiwa kuwa nina mawazo, ”
alisema Snura akiwa nyumbani kwake,
Mwananyamala, jijini Dar.

GP

No comments:

Post a Comment