Msanii 'wellu sengo' amefunguka kwa kusema nimefurahi kukutana na kampuni inayo angalia mbali sana kuhusu wasanii wa filamu tanzania ZEST FILM PRODUCTION imeninyanyua kufikia levo za
juu sana namshukuru mungu na nawashukuru TEAM NZIMA YA ZEST
Nimeshiriki kwenye filamu ya VAGABOND kama support staring, Mpaka hapa nilipo nnaimani ntafika mbali kwa uwezo wa M/mwenyezi mungu na mapokeo ya mashabiki wangu wa ndani na nje ya nchi wanaoniona na watakaoniona katika kazi nilizofanya na ntakazofanya ndani ya ZEST FILM PRODUCTION.
No comments:
Post a Comment